Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muna ataka kubadili dini "Waislma mtanipokea?"

Muna2.png Muna Love

Sun, 27 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Bongo Movie Muna Love kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe akiuliza iwapo ataamua kuhama dini na kuwa watampokea?

Msanii Bongo Movie Muna Love kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe akiuliza iwapo ataamua kuhama dini na kuwa watampokea? "Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa" amehoji Muna.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live