Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume wa Zari aomba pambano na Harmonize

Mume Wa Zari Mume wa Zari aomba pambano na Harmonize

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mume wa mfanyabiashara Zari, Shakib Lutaaya ameomba kuzichapa na mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Harmonize, hii ni baada ya Konde kupitia instastory yake kudai kuwa ameamua ku-forcus kwenye ngumi.

Kupitia instastory ya Harmonize ame-share chat zake na #Shakib akiomba pambano na mwanamuziki huyo, ambapo Harmo alimjibu kwa kumtaka Shakib akaangalie alivyozipiga na bondia Hassan #Mwakinyo labda anaweza kubadili maamuzi.

Hata hivyo #Konde amemtaka #Zari aongee na mumewe maana anajaribu kucheza na kifo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live