Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume wa Shamsa: Sijatelekeza familia

Mlilotz 1692966714317 (1).jpeg Mume wa Shamsa: Sijatelekeza familia

Sun, 27 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mume wa muigizaji Shamsa Ford, Mlilo, amesma watu wengi waliamini kwamba yeye ni mtu mbaya kutokana na aliyekuwa mzazi mwenziye kuwaaminisha kwamba ni mtu mbaya.

Mlilo alisema, alitukanywa sana na watu kwamba ametelekeza familia pindi walipokuwa na ugomvi na mkewe lakini yeye aliamua kukaa kimya kama mwanaume.

"Nilikaa kimya, si kwamba nilitelekeza familia la hasha. Nilikuwa napeleka matumizi yanarudishwa lakini ikafika mahali nikaamua kumuachia Mungu kama wao walivyosema tumuache Mungu ndio awe mtoa hukumu," alisema Mlilo akiwa fungate na mkwewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live