Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume wa Britney Spears akanusha ndoa yao kuvunjika

Mume Wa Britney Spears Akanusha Ndoa Yao Kuvunjika Mume wa Britney Spears akanusha ndoa yao kuvunjika

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jason Alexander, mume wa zamani wa mwimbaji kutoka Marekani, BritneySpears akana madai ya kulewa siku ya harusi yao, badala yake, amesisitiza kuwa siku hiyo alikuwa amechoka sana.

Jason, ambaye alifunga ndoa na Britney mwaka 2004 kabla ya kupata talaka, amewambia TMZ kuwa wasomaji wasiamini neno lolote la Britney kuhusu ndoa yao katika kitabu chake kipya, cha ''The Woman in Me''.

Britney katika kitabu chake hicho amefichua kuwa yeye na Alexander waligombana mwaka 2004 baada ya usiku wa ndoa yao huko Las Vegas.

Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 45 sasa anatamba wimbo wake wa ‘Mind your business’ aliouachia miezi mitatu iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live