Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume wa Amber Ruty amtamani Saida Karoli

34605 Pic+umber.png Tanzania Web Photo

Wed, 2 Jan 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Mume wa msanii Amber Ruty, anayeju-likana kwa jina la Said Bakari, amesema kati ya wanamuziki anaowapenda nchini ni Saida Karoli.Said mwenye miaka 22, alisema kutokana na hilo anatamani siku moja wafanye naye kazi.“Watu wengi hawafahamu kama mimi ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva, lakini ninaimba na ninatamani kufanya kazi na Saida kwa sababu anajua muziki na anatumia zaidi utanzania wake,” alisema.

Chanzo: mwananchi.co.tz