Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume asimulia Shamsa alivyomnyima lift wakati anamfukuzia

Mume Asimulia Shamsa Alivyomnyima Lift Wakati Anamfukuzia Mume asimulia Shamsa alivyomnyima lift wakati anamfukuzia

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mume wa muigizaji Shamsa Ford, Mlilotz anasema siku ya kwanza kukutana na mrembo huyo, alimringia sana na alimnyima lift kwenye gari wakati kuna siti moja ilikuwa haiana mtu.

Mlilotz anasema hapo ndipo alipogundua kuwa ndio mwanamke anayemfaa kwani anapenda wanawake wanaomringia.

"Mimi nakasema sawa huyu ndio mwanamke ninayomtaka, nilimkuta akiwa na stress zake za mapenzi na mimi nilikuwa na zangu, tukayajenga na kikaeleweka kama unavyoona sasa hivi ana mtoto si unaona," alisema Mlilotz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live