Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mume ampa talaka mkewe kisa mzuri sana

Hilda Mleya Mume ampa talaka mkewe kisa mzuri sana

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bwana mmoja raia wa Zimbabwe, Arnold Masuka (40) ameacha watu vinywa wazi baada ya kuiambia Mahakama hamuhitaji tena mkewe Hilda Mleya (30) kwa sababu ni mzuri kupita kiasi.

Arnold mbele ya Jaji Henry Chizvidzo ametoa malalamiko hayo ambapo amesema ametoa talaka kutokana na kukosa usingizi kabisa kwa uzuri wa mkewe.

Anasema hali hiyo imemfanya imekuwa mbaya sana kwake kwani anaogopa hata kwenda kazini au kumuacha peke yake akiogopwa atawindwa na wanaume wengine.

Jaji amesema hii ni mara yake ya kwanza kusikiliza kesi ya aina hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live