Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume aminipenda Mimi, hajapenda ustaa-Nisha

Nishaaa Mume aminipenda Mimi, hajapenda ustaa-Nisha

Wed, 31 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo ambaye amefanya makubwa kwenye ulimwengu wa Sanaa ya uigizaji, Salma Jabu 'Nisha' amesema anamshukuru Mungu kwa kuanza maisha ya ndoa na mwanaume ambaye wanapendandana.

Nisha amesema, mumewe Salimu sio mtu wa mitandao au kupenda umaarufu hivyo anaona hiyo nayo inachangia kulifanya penzi lao lizidi kuwa tamu.

"Mume wangu Mimi hata kumposti hataki au kumtaja akaunti yake watu wamfollow sijui hataki. Yeye amenioa Mimi kama Salma Jabu na sio mtu maarufu. Hiyo pia inatufanya tuwe na amani zaidi maana maisha ya private ni mazuri zaidi," alisema Nisha.

Nisha anaongeza orodha ya mastaa walioingia kwenye ndoa wakiwemo Rose Ndauka na Zuwena Mohamed 'Shilole'.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live