Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji wa Bongo Movie mwenye vipaji vinne ajipigia upatu WCB ‘nina uwezo mkubwa wa kucheza muziki’ (+video)

Video Archive
Sun, 24 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Idrissa Makupa amesema yupo tayari muda wowote kujiunga na WCB kama Densa endapo Diamond Platnumz atamuhitaji kwani anakipaji cha hali ya juu cha kucheza muziki.

video=1588>

Idrisa kupitia Bongo5 amesema kuwa licha ya kufanya vizuri kwenye filamu lakini pia na uwezo mkubwa wa kucheza mpira na muziki na kama atapata nafasi ya kusainiwa WCB basi bila shaka ataongeza nguvu.

 

Loading...
Chanzo: bongo5.com