Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji afariki akiwa usingizini

Carly Carl Weathers

Sat, 3 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Carl Weathers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.

Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake siku ya juzi Februari 1 wakieleza kuwa #Weathers amefariki kwa Amani akiwa usingizini. Aidha Weathers ameacha watoto wawili, ambao ni #Jason na #Matthew, pamoja na wajukuu.

CarlWeathers amejulikana kupitia filamu mbalimbali ikiwemo, ‘#Predator’ , ‘#Rocky’, ‘Star Wars’, ‘The Mandalorian’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live