Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Nigeria: Naunga mkono Tendo kabla ya Ndoa

Adenkola Tosin Adekansola

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tosin Adekansola muigizaji maarufu wa nchini Nigeria amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi msimamo wake ya kwamba anaunga mkono swala la 'mapenzi kabla ya ndoa' licha ya msimamo mkali wa jamii dhidi yake.

Kwa mujibu wa Tosin, ni vyema kwa wapenzi wanaotarajia kufunga ndoa kujuana kiundani kimapenzi kabla ya kuoana.

Akitetea hoja yake Tosin anasema usaliti katika ndoa unatokana kwa kiasi kikubwa na wapenzi kutojuana kiundani kila mmoja na uwezo alio nao kwenye kushiriki tendo hilo.

"Kushiriki mapenzi kabla ya ndoa ni vizuri. Jaribu jambo kabla ya kuoa. Kwa sababu baadhi ya wanawake wanafanya usaliti wakiwa wameolewa kwa sababu waume zao hawawezi ****** kitandaniā€ Adekansola alisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live