Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Marekani akoshwa na kikundi cha sarakasi cha Kitanzania

Approved Photo E1626794958480 671x720 Muigizaji Marekani akoshwa na kikundi cha sarakasi cha Kitanzania

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji na mtangazaji maarufu kutoka nchini Marekani amevutiwa na performance ya wanasarakasi kutoka Tanzania @ramadhanibrothersofficial , iliyowapelekea kufika hatua ya ‘fainali’ katika shindano la America’s Got Talent.

Mwigizaji na mtangazaji maarufu kutoka nchini Marekani amevutiwa na performance ya wanasarakasi kutoka Tanzania @ramadhanibrothersofficial , iliyowapelekea kufika hatua ya ‘fainali’ katika shindano la America’s Got Talent. #terrycrews amedai kuwa hachoki kuwatazama wanasarakasi hao kutokana na mambo yasiyo ya kawaida wanayofanya, ambayo hata yeye hakuwahi kuyaona kwenye maisha yake yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live