Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Marekani aangua kilio kisa kulipwa kidogo

Muigizaji Marekani Aangua Kilio Kisa Kulipwa Kidogo Muigizaji Marekani aangua kilio kisa kulipwa kidogo

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka Marekani Taraji P. Henson aangua kilio katikati ya mahojiano baada ya kuulizwa kuhusiana na kufikiria kuacha kufanya kazi ya uigizaji na kudai kuwa huenda akaacha kufuatiwa na kulipwa kiasi kidogo cha pesa katika filamu anazo zifanya.

Kupitia mahojiano hayo muigizaji huyo ameweka wazi kuwa licha ya kuwa muigizaji mkubwa amekuwa akilipwa kama waigizaji wa kawaida huku akiweka wazi kuwa hata kupitia filamu yake ya ‘The Color Purple’ aliomba alipwe $500,000 na alilipwa $100,000 pekee.

Hata hivyo Taraji amedai kuwa kwenye changamoto hizo za kuhusiana na malipo hayuko peke yake huko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live