Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Jonathan ashtakiwa tena na ex wake

Muigizaji Jonathan Ashtakiwa Tena Na Ex Wake Muigizaji Jonathan ashtakiwa tena na ex wake

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpenzi wa zamani wa Muigizaji Jonathan Major, Grace Jabbar amezidi kumkalia kooni Muigizaji huyo kwani amemfungulia mashtaka kwa mara nyingine akimshtaki kwa unyanyasaji, kukashfu na kujeruhi wengine.

Kama tulivyoripoti hapo awali, Jonathan Majors alipatikana na hatia ya kumpiga mpenzi wake wa zamani Grace Jabbar.

Kulingana na ripoti nyingi, uamuzi wa mgawanyiko ulitolewa ambapo Major, 34, alipatikana na hatia ya shtaka moja la unyanyasaji na kumfanya kupoteza madili yake mengi ikiwa ni kufanya kazi na makampuni kama Marcel na Disney.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live