Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Jonathan amshtaki X wake

Muigizaji Jonathan Amshtaki X Wake Muigizaji Jonathan amshtaki X wake

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka nchini Marekani #JonathanMajors amemshitaki mpenzi wake wa zamani #GraceJabbari kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi maeneo ya usoni na sikioni.

Major aliwasilisha mashitaka hayo Juni, 23 mwaka huu kwa madai ya kushambuliwa na aliyekuwa mpenzi wake #Grace ambapo kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa jana Jumatano ilipigwa kalenda mpaka #Novemba 29.

#JonathanMajors alitambulika zaidi kufuatia filamu alizocheza kama vile ‘Creed III’, ‘Ant-Man and the Wasp’ , ‘Lovecraft Country’, ‘The Last Black Man in SanFrancisco’ na nyingine nyingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live