Siku ya pili ya Kesi ya Muigizaji Jonathan Majors na Ex wake Grace Jabbari iliendelea mahakamani ambapo #Grace alifunguka kuwa Jonathan alianza kumbadilikia mnamo Disemba 2021 na kuanza kuwa mkatili mbele yake mpaka kupelekea kuanza kumuogopa.
Siku ya pili ya Kesi ya Muigizaji Jonathan Majors na Ex wake Grace Jabbari iliendelea mahakamani ambapo #Grace alifunguka kuwa Jonathan alianza kumbadilikia mnamo Disemba 2021 na kuanza kuwa mkatili mbele yake mpaka kupelekea kuanza kumuogopa. Baraza pia lilisikia rekodi ya sauti ya Jonathan akimkalipia kwa nguvu Grace huku akimtaka awe na tabia kama za Coretta ScottKing au Michelle Obama huku akisema yeye ni mtu mashuhuri na anafanya vitu vikubwa kwa utamaduni wake hivyo mwanamke anaepaswa kumuunga mkono anatakiwa awe mzuri.