Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji India atembea na Bilioni 111 shingoni

WhatsApp Image 2023 05 02 At 12 Muigizaji Priyanka Chopra

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa muigizaji Priyanka Chopra anatembea na utajiri wa Dola Milioni 43 sawa na Tsh Bilioni 111 na ushee kwa mkufu/cheni yenye Almasi anayovaa shingoni mwake.

Staa huyo wa filamu za kihindi ambaye ameolewa na mwanamuziki Nick Jonas anasema anajivunia cheni yake hiyo nzuri na nywele zake mpya.

Kitu gani cha thamani unachomiliki?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live