Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Charlbi Dean afariki ghafla

Charlbi Dean Charlbi Dean

Thu, 1 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji maarufu aliye tamba katika filamu ya Triangle of Sadness, Charlbi Dean amefariki ghafra siku ya juma tatu mjini newYork kwa ugojwa usio tarajiwa. Dean alikuwa muigizaji wa filamu za vichekesho vya kejeri.

Charlbi Dean Alifanya filamu yake ya kwanza mwaka 2010 Spud na pia ameonekana katika filamu ya Spud 2, Blood in the Water, Don’t Sleep, Porthole, na Death Race 3: Inferno.

Alijulikana pia kwa kucheza Syonide, mhusika anayejirudia kwenye safu ya shujaa wa CW Black Lightning.

Mbali na uigizaji, Dean alianza uanamitindo, akiwa na umri wa miaka sita na alitia saini ya kuwa wakala wa kitaaluma, akiwa na umri wa miaka 12 alionekana kwenye majarida na katika matangazo ya televisheni.

Mhariri Mkuu wa The Hollywood Reporter, alisema msiba ulikuwa wa ghafla, akiongeza kuwa filamu ya Triangle of Sadness itamfanya kuwa nyota.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live