Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Angus Cloud hakujiua kama ilivyoripotiwa

Angus Cloud Angus Cloud

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka Marekani Angus Cloud aliyeripotiwa kujiua mwezi uliopita, ushaihidi unadai kuwa kifo cha Cloud kilitokana na matumizi ya madawa kupitiliza na sio kujiua kama ilivyoshukiwa mara ya kwanza.

Kwa mujibu wa TMZ news unaeleza kuwa vyanzo vilivyohusika na uchunguzi wa kifo vinasema kuwa Angus hakuacha barua wakati amekufa.

Cloud alikutwa amekufa chumbani kwake mwezi uliopita katika nyumba ya familia yake huko #Oakland huku taarifa ya awali ambayo familia ilitoa ilidokeza kwamba anawezakana kuwa kajiua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live