Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Amitabh Bachchan aumia akishuti filamu

Muigizaji Amitabh Bachchan Aumia Akishuti Filamu Muigizaji Amitabh Bachchan aumia akishuti filamu

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Maaruufu duniani kutokea Bollywood Amitabh Bachchan, amejeruhiwa wakati akishoot filamu katika mji wa Hyderabad jambo lililopelekea kupata maumivu makali na shida wakati wa kupumua.

Bachchan (80) mmoja kati ya waigizaji maaruufu kuwahi kutokea nchini India, amesema kuwa ameumia kwenye mbavu wakati wa akishoot filamu yake ijayo ya "Project K".

Kupitia blog yake mkongwe huyo ameandika kuwa hivi sasa anapumzika nyumbani kwake Mumbai na itamchukua wiki kadhaa kupona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live