Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muigizaji Afrika Kusini afariki dunia

Muigizaji A.Kusini Muigizaji Afrika Kusini afariki dunia

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji @mpho_sebeng wa Afrika Kusini afariki dunia baada ya kupata Ajali ya gari aliyoipata asubuhi ya jana May 5,2024 huko Potchefstroom Afrika Kusini . Mpho amefariki akiwa na umri wa miaka 31. Staa huyo amewahi kutamba kwenye filamu mbalimbali kama "Ring of Lies,” “Savage Beauty,” na “The Queen" .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live