Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Muhimu ni Zari,watoto na biashara zangu sio drama”-Zari

492 DSC 0747.MOV.Still025 660x400 TZW

Fri, 22 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Ishu kubwa inayoendelea kwa sasa Uganda nikuhusu show mbili tofauti ambazo zinafanywa na wazazi wenza wa staa Diamond Platnumz, Zari the boss lady na Hamisa Mobetto ambao wote wanashindanishwa kutokana na show zao kuwa siku moja.

Leo December 21,2017 Kupitia mtandao wa snapchat wa zari the boss lady amepost video clip ikisema kuwa ameamua kucancel interview na kituo cha redio nchini humo kwa sababu wanamuuliza maswali mengi binafsi na hayuko tayari kwa drama.

 

Party ya Zari na Party ya Hamisa zote zinafanyika leo December 21,2017 Kampala Uganda lakini venue tu ndio tofauti kitu ambacho kinatafsiriwa kama ni mashindano kati ya Zari na Hamisa baada ya Zari kutafsiri maswali anayoulizwa ni kama drama.

UTANI: “Tafa dada usinikaribishie Shetani yakantokea maskioni”-Diamond

Chanzo: millardayo.com