Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Mtulia asipotimiza aliyoahidi,Jimbo la Kinondoni linaweza kujiendesha” – Steve Nyerere

3418 Steve 660x386

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Kuelekea uchaguzi wa jimbo la Kinondoni ambao utafanyika siku ya jumamosi hii February 16, 2018, muigizaji maarufu Steve Nyerere amezungumza na kutoa mtazamo wake kuhusu jimbo hilo ikiwa pamoja na Mgombea Mtulia.

Muigizaji Steve Nyerere amesema kwamba Jimbo la Kinondoni lina weza kujiendesha kutokana na ukubwa wake na hata viongozi wa kubwa waliowahi kupita hapo na anaamini Mtulia atatekeleza sera kwani ni msema kweli pamoja na hilo ameelezea kuhusu kama yeye atakuja kugombea miaka ya mbeleni baada ya uchaguzi huu au ndoto yake imeishia wapi.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza STEVE NYERERE akielezea.

 DADA WA DIAMOND: “Haiwezekani, Diamond Hajaachana na Zari”

Chanzo: millardayo.com