Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtuhumiwa mauaji ya Tupac akamatwa

Tupac X Keefe Mtuhumiwa mauaji ya Tupac akamatwa

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane "Keefe D" Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa Tupac Shakur yaliyotokea Mwaka 1996 katika Mitaa ya Las Vegas, Marekani

Licha ya Mashtaka yake kutowekwa wazi, taarifa zinaeleza Mashauri yote kuhusu kesi hiyo iliyodumu kwa takriban miaka 27 yatajulikana leo Septemba 29, 2023

Tupac alizaliwa Jijini New York Mwaka 1971, alijipatia umaarufu mkubwa kupitia muziki wa Hip Hop kutoka upande wa West Coast akitamba na 'hits' kama Do 4 Love, Hit Em Up, Dear Mama na California Love

Chanzo: www.tanzaniaweb.live