Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mtu mwenye umri mkubwa Duniani afikisha miaka 117

Mariaaaaa Maria Branyas Morera, binadamu mwenye umri mkubwa zaidi duniani

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maria Branyas Morera, binadamu mwenye umri mkubwa zaidi duniani kwa mujibu wa Guinness World Records hatimaye ametimiza miaka 117.

Mwaka 2023 ndipo alitangazwa kuwa ni binadamu mwenye umri mkubwa zaidi duniani.

Maria alizaliwa mwaka 1907 San Francisco, California Marekani lakini ni raia wa Hispania. Maria ana watoto watatu, wawili wapo hai, mmoja alifariki, hana mume, mume wake alifariki mwaka 1976.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live