Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa P Diddy atuhumiwa kwa makosa kama ya Baba yake

Diddy Son Mtoto wa P Diddy atuhumiwa kwa makosa kama ya Baba yake

Wed, 3 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa nyoka ni nyoka, kijana wa Diddy naye huwenda akajikuta anaingia matopeni kwani mwanamke mmoja ambaye hakuanika jina lake, amepanga kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji wa kingono.

Mtoto wa nyoka ni nyoka, kijana wa Diddy naye huwenda akajikuta anaingia matopeni kwani mwanamke mmoja ambaye hakuanika jina lake, amepanga kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji wa kingono. Mwanasheria Tyrone Blackburn, ambaye anawawakilisha wanawake kadhaa ambao wanamtuhumu Diddy kwa vitendo hivyo amesema kesi hiyo ipo kwenye hatua za mwisho kufunguliwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live