Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Mfalme aweka rekodi Marekani

WhatsApp Image 2023 06 12 At 02.jpeg Mtoto wa Mfalme aweka rekodi Marekani

Mon, 12 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ed Sheeran ametoka ardhi ya mfalme Charles III hadi New Jersey Marekani kuweka rekodi hii kwenye muziki wake.

Taarifa zinasema Sheeran amevunja rekodi ya muda wote ya mahudhurio ya watazamaji katika uwanja wa MetLife, ambapo ameweka rekodi mpya kwa kujaza watu 89,000 kwenye onesho lake.

Onesho hili linaingia kwenye vitabu vya Kumbukumbu ya kuwa onesho lake kubwa zaidi kwa nchini Marekani kwa muda wote

Chanzo: www.tanzaniaweb.live