Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Kanye West aingia kwenye chati za Billboard 100

Mtot Wa Kanye West Aingia Kwenye Chati Za Billboard 100 Mtoto wa Kanye West aingia kwenye chati za Billboard 100

Thu, 22 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa ‘rapa’ Kanye West, North West amefanikiwa kuingia kwenye chati za Billboard 100 kwa mara ya kwanza, baada ya kufanya 'kolabo' na Baba yake ya ngoma ya ‘Talking’ na kumfanya kuwa miongoni mwa wasanii wenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia katika chati hizo.

Wimbo wa ‘Talking’ mpaka kufikia sasa unazaidi ya watazamaji milioni 14 kupitia mtandao wa #YouTube, huku kwa upande wa #Billboard ngoma hiyo ikishika nafasi ya 30 katika chati hizo.

Kanye alifanikiwa kupata mtoto huyo na aliyekuwa mpenzi wake mfanyabiashara #KimKardashian ambapo mpaka kufikia sasa Binti huyo ana umri wa miaka 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live