Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Esma agonga divisheni one

E5f8d5eb 82ad 4707 Bd09 Fe75463b3872 Mtoto wa Esma agonga divisheni one

Thu, 5 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa kwanza wa @_esmaplatnumz dada wa staa wa Bongo Fleva @diamondplatnumz aitwae @tahiyaplatnumz amefaulu vyema mtihani wa Taifa wa kidato cha pili kwa kupata ufaulu wa daraja la kwanza.

Bibi yake @mama_dangote amefunguka haya akimpongeza mjukuu wake huyo

"Sina la zaidi niseme Alhamdulillaah @tahiyaplatnumz Kichwa wa Naseeb kichwa Kipenzi cha Anko @diamondplatnumz."

Nae @_esmaplatnumz amesema haya

Kama mzazi wako nakupa hongera sana Binti yangu umefata akili ya Wazazi wako na imani form four utatushangaza zaidi Inshallah Mungu atazidi kukusimamia najua hapo umenuna umekataa nisipost ila km mzazi natamani dunia yote ione mtoto wangu ulivyojitahidi Mungu akulinde Basi HATERS uwanja wenu nawasubili nipo hapa"

Matokeo ya mitihani yake yapo hivi kwa kila somo

CIV-'D' HIST 'B' GEO-'A' KISW-'A' ENGL-A PHY-C CHEM-A BIO-B' COMP STUD-'C' B/MATH-B' COMM-C' B/KEEPING-C.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live