Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mtoto jasiri anatangaza DW, awashangaza wengi, ana uwezo wa ajabu kutangaza (+video)

WhatsApp Image 2021 05 20 At 22.25.32 660x400.jpeg Mtoto jasiri anatangaza DW, awashangaza wengi, ana uwezo wa ajabu kutangaza (+video)

Fri, 21 May 2021 Chanzo: millardayo.com

AyoTV HQ hapa Palm Village tumepata ugeni wa Msichana Jasiri ambaye amejizolea umaarufu mkubwa nchini kutokana na uwezo wake wa kufanya ripoti mbalimbali akiwa na umri mdogo wa miaka 13, si mwingine huyu ni Khadija Khalifa Sadick anaekuza talanta yake katika shirika la utangazaji la DW lenye makao yake makuu nchini Ujerumani na yeye akifanya ripoti zake hapa TZ.

AyoTV HQ hapa Palm Village tumepata ugeni wa Msichana Jasiri ambaye amejizolea umaarufu mkubwa nchini kutokana na uwezo wake wa kufanya ripoti mbalimbali akiwa na umri mdogo wa miaka 13, si mwingine huyu ni Khadija Khalifa Sadick anaekuza talanta yake katika shirika la utangazaji la DW lenye makao yake makuu nchini Ujerumani na yeye akifanya ripoti zake hapa TZ. Juu ya Khadija mengi yamesemwa kutokana na Uwezo wake mkubwa ukilinganisha na umbo lake pamoja na umri wake, wengine wakisema ni mtu mzima sema ni umbo tu la kitoto na wengine wakisema si Mtanzania, kupata majibu ya maswali hayo Khadija amekaa kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na AyoTV na millardayo.com na huyu ndio Khadija halisi wa Msichana Jasiri wa DW.

Chanzo: millardayo.com