Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mtoto Antony alivyowaombea wenzake wanaoumwa

Mtotoo 660x400 Mtoto Antony alivyowaombea wenzake wanaoumwa

Mon, 8 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Mtoto Antony Petro aliye-trend kwa kumshtaki baba yake  polisi akitaka kuuza shamba la familia mkoani Kagera na baadaye kupata mfadhili wa kusomeshwa bure wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro

Antony amesema pamoja nakufanya vizuri kwenye masomo ameweza kuwaombea wenzake watatu shuleni hapo ikiwemo aliyekuwa anaumwa mguu ambapo hadi sasa amepona kabisa.

MANENO YA RAS ALIYOYAZUNGUMZA MUDA MFUPI KABLA YAKUFARIKI KWENYE AJALI

Chanzo: millardayo.com