Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtanzania ashinda tuzo za AMVCA Nogeria

Frrddy Feruzi .jpeg Freddy Feruzi

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miongoni mwa habari njema kutoka Kwenye Tuzo za AMVCA nchini Nigeria ni Mtanzania Freddy Feruzi @freddyferuzi kushinda Tuzo ya Best Indigenous Language Movie Or TV Series (Swahili) kupitia movie ya Obambo.

Watanzania waliokuwa wakishiriki kwenye Tuzo hizi ni wawili ambao ni Freddy Feruzi na Raphael Emmanuel kupitia Filamu ya Ugonjwa wa Kifo.

Hata hivyo Freddy Feruzi hakuwepo Nigeria kupokea Tuzo hiyo. #TanzaniaWeb.com

Chanzo: www.tanzaniaweb.live