Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mtanzania alieacha Milioni 100 kwa mwaka, abuni App ya usafiri (+video)

Video Archive
Fri, 9 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Kijana wa Kitanzania amebuni App (TWENZAO) inayomuwezesha dereva kupata abiria na abiria kupata usafiri saa 24 pale tu atakapo kuwa tayari kusafiri kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine.

Kijana wa Kitanzania amebuni App (TWENZAO) inayomuwezesha dereva kupata abiria na abiria kupata usafiri saa 24 pale tu atakapo kuwa tayari kusafiri kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine. Pamoja na kuwa kwa sasa Watumiaji wanaipata bila malipo matumaini yake mwaka mmoja baadae Watumiaji waongezeke hadi Milioni moja, App hiyo kwa sasa ina idadi ya Watumiaji zaidi ya mia tano.

Chanzo: millardayo.com