Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mtangazaji wa TV azua gumzo baada ya kuvalisha maiki Kondomu

Kondomu Kms.jpeg Mtangazaji wa TV azua gumzo baada ya kuvalisha maiki Kondomu

Fri, 30 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa TV Wa NBC ana trend baada ya kutumia Condom kufunika Mic yake akiwa na ripoti kuhusu Kimbunga Ian jimboni Florida. Kyla Galer aliwaambia watazamaji kuwa 'Hii ni condom, hatuwezi kulowesha hizi Mic'.

Mtangazaji wa TV Wa NBC ana trend baada ya kutumia Condom kufunika Mic yake akiwa na ripoti kuhusu Kimbunga Ian jimboni Florida. Kyla Galer aliwaambia watazamaji kuwa 'Hii ni condom, hatuwezi kulowesha hizi Mic'. Kyla ni miongoni mwa waandishi wanaonyeshewa mvua usiku na mchana wakitoa ripoti ya kimbunga hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live