Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtangazaji Fredwaa afariki kwa ajali Dar es salaam

Screenshot 2021 06 12 At 09.05.45 660x400.png Mtangazaji Fredwaa afariki kwa ajali Dar es salaam

Sun, 13 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo Dar es salaam, taarifa za awali zinasema amefariki baada ya kupata ajali Kawe akiwa yeye ndio anaendesha akiwa na abiria mmoja ndani ya gari ambae yeye amejeruhiwa tu.

Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo Dar es salaam, taarifa za awali zinasema amefariki baada ya kupata ajali Kawe akiwa yeye ndio anaendesha akiwa na abiria mmoja ndani ya gari ambae yeye amejeruhiwa tu. Fredwaa amewahi kufanya kazi kama Mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya Radio kama Radio Free Africa Mwanza pamoja na CloudsFM Dar es salaam, tunaendelea kufatilia zaidi ili kukuletea taarifa kamili kuhusu kifo chake na msiba…. pumzika kwa amani Fredwaa.

Chanzo: millardayo.com