Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msusi wa Zari afunguka alivyofukuzwa na Aristote

Keshas Msusi wa Zari afunguka alivyofukuzwa na Aristote

Fri, 30 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msusi aliyejipatia umaarufu baada ya kuaminiwa na staa maarufu Zari, afunguka safari ya mafanikio yake.

Keshas mwenye saluni yake jijini Dar es Salaam amesema awali aliajiriwa kwenye saluni ya Aristote lakini baada ya miezi miwili alifukuzwa kwa sababu hajui kusuka.

Baada ya kuondoka kwa Aristote alishiriki kwenye mashindano ya ususi, akafanikiwa kushinda milioni tatu kwa kuwa mshindi namba moja nchini.

Baada ya ushindi huo Aristote alimtafutabkumuomba arudi, lakini alikataa kwani alikua na kinyonge kwa kile walichomfanyia. Lakini ameongeza kwa kusema kuwa anamshukuru Aristote kwani ndiye aliyempa nafasi ya kufata mafanikio yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live