Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msichana mwenye umri wa miaka 20 amuomba pesa baba yake y akumnunulia mchumba wake Mercedes mpya siku ya wapendanao

3318 5a84b8038c111 TZW

Thu, 22 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwanamke mmoja wa nchini Kenya mwenye umri wa miaka 20 ampatia funguo za Mercedes Benz E200 mpya siku ya Valentine.



Kulingana na ripoti, Fridah Kariuki ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Methodist Kenya (KEMU) alimuomba pesa baba yake ya kumnunulia mchumba wake Michael Musyimi Mercedes kwa sababu alikuwa anatamani kulimiliki siku moja.

Fridah anasema kwamba Michael amekuwa akimpatia misaada mbali mbali ya kifedha na kihisia na alidhani ni vizuri akimpaita zawadi maalum katika siku ya wapendanao.

Wawili hao walikuwa wamevaa mavazi ya rangi nyeusi na baadaye walipiga picha wakiwa pamojaa mbele ya gari hilo jipya. Angalia picha za tukio hilo hapa chini.







Na Raheem Rajuu

Chanzo: bongo5.com