Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msiba wa Patrick wamuibua Lulu

10742 PIC+MUNA TanzaniaWeb

Thu, 5 Jul 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Baada ya kimya cha muda mrefu, msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael maarufu kama Lulu leo ameibuka na kuweka picha ya mshumaa kwenye mtandao wake wa Instagram.

Picha hiyo ameiweka leo Julai 4 akiomboleza kifo cha mtoto wa rafiki yake, Muna Love.

Mtoto huyo, Patrick alifariki dunia Nairobi, Kenya jana usiku wa Julai 3 akipata matibabu.

Lulu hajaonekana hadharani tangu alipotoka jela Mei mwaka huu.

Chanzo: mwananchi.co.tz