Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mshindi wa BSS kupewa milioni 20 na kiwanja

BSS Imepoteza Mvuto Mshindi wa BSS kupewa milioni 20 na kiwanja

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chief Judge wa shindano la BSS, Madam Rita Paulsen amesema fainali za BSS msimu wa 14 zitafanyika January 27, 2024 na Mshindi wa kwanza atapewa Tsh milioni 20, pamoja na kiwanja chenye ukubwa wa Square Meters 500, huku akiwapa nafasi Mashabiki na Wadau kutoka zawadi wazipendazo siku ya tukio.

Chief Judge wa shindano la BSS, Madam Rita Paulsen amesema fainali za BSS msimu wa 14 zitafanyika January 27, 2024 na Mshindi wa kwanza atapewa Tsh milioni 20, pamoja na kiwanja chenye ukubwa wa Square Meters 500, huku akiwapa nafasi Mashabiki na Wadau kutoka zawadi wazipendazo siku ya tukio. Akiongea Jijini Dar es salaam jana Madam Ritta ameiomba Serikali imsaidie kuwezesha vipaji vinavyovumbuliwa na BSS kwani baada ya mashindano wengi wamekua hawana maendeleo kutokana na ufinyu wa bajeti na hata support kuisha kutoka kwa Wadau wao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live