Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mshabiki wamvamia Diamond, ashindwa kushuti

Mondi Pic Mshabiki wamvamia Diamond, ashindwa kushuti

Wed, 11 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki Diamond Platnumz amejikuta akishindwa kushuti Video yake baada ya kufika location na kuvamiwa na mashabiki mpaka kushindwa kushuka ndani ya gari.

Kupitia Insta Story, Diamond ameshea kipande cha video kinachomuonesha akiwa location hapo akisikika akizungumza akiwa ndani ya gari.

"Siwezi kuwazuia lakini najiuliza wasanii wenzangu wanawezaje wanaoweza kushuti Tanzania kutokana na Upendo ambao huwa wanakutana nao," alisikika Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live