Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii wa kundi la Morgan Heritage afariki Dunia

Peter Heritage Peter “Peetah” Morgan

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji Kiongozi wa Bendi ya Reggae iliyoshinda tuzo ya Grammy ya Morgan Heritage, Peter “Peetah” Morgan amefariki dunia Jana Februari 25, 2024 akiwa na umri wa miaka 46.

Peetah Morgan alikuwa mmoja kati ya watoto zaidi ya 20 wa Mwimbaji wa Jamaica, Denroy Morgan.

Kundi la Morgan Heritage liliundwa mnamo 1994 ndugu watano wa Morgan na kuachia albamu yao ya kwanza ya Miracles mwaka huo huo.

Kundi hilo limeshawahi kufanya kazi na Diamond Platnumz wimbo ukienda kwa jina la " Hallelujah"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live