Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii wa kiume ninayempenda Tanzania ni Alikiba – Miss Tz 2016, Diana

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Miss Tanzania mwaka 2016, Diana Edward amesema msanii wa kiume Bongo ambaye anakubali muziki wake ni Alikiba.



Mrembo huyo ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa anampenda Alikiba kwa sababu ametulia.

“Msanii wa kiume ninayempenda Tanzania ni Alikiba, nampenda kwa kuwa nadhani ametulia najua wengine nao wametulia ila mimi namuongelea yeye kuwa ametulia na mambo yake haweki wazi kama wengine hivyo mimi namuona ametulia,” amesema Diana.

Hata hivyo ameonya kuwa anajua tatizo la Watanzania ni mabigwa wa kubadili vitu ukisema hivi wao wanabadili vingine lakini hicho ndicho anakipenda.

Chanzo: bongo5.com