Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii wa Injili afariki dunia akitumbuiza jukwaani

Msanii Wa Injili Afariki Dunia Akitumbuiza Jukwaani Msanii wa Injili afariki dunia akitumbuiza jukwaani

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Brazili inaomboleza kifo cha muimbaji wa Injili nchini humo, Pendro Henrique (30) ambaye amefariki Dunia wakati akitumbuiza jukwaani.

Brazili inaomboleza kifo cha muimbaji wa Injili nchini humo, Pendro Henrique (30) ambaye amefariki Dunia wakati akitumbuiza jukwaani. Pedro amedondoka ghafla jukwaani akiwa anaimba Ngoma yake iitwayo "Vai Ser Tai Lindo" na baadae alikimbizwa Kituo cha Afya cha karibu ambapo alithibitika kupoteza maisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live