Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii wa HipHop atoa remix ya Dah

Nandy 2324 Nandy.

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Nandy kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza kuwa kesho inatoka "HIP HOP REMIX" ya Wimbo wake "Dah!".

Kwenye Remix hiyo amemshirikisha G Nako, Stamina, Khaligraph Jones, Joh Makini, Rosa Ree na Moni Centrozone.

Hii ni remix ya pili, ya kwanza ni ile aliyofanya na Alikiba.

Je, Unadhani Rapper gani ametisha zaidi kwenye remix hii?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live