Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii maarufu Rwanda afariki Dunia

InShot Yvan Yvan Buravan

Wed, 17 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki maarufu nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho.

Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu.

Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya hapo alifanya kazi nyingi ikiwemo ya Just a Dance (Remix) aliyoshirikiana na AY wa Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live