Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii kutoka Afrika atajwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa duniani la Coachella

1003 Coachella Social Share.png TZW

Wed, 3 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Tamasha kubwa la muziki duniani ambalo hufanyika kila mwaka nchini Marekani la Coachella jana usiku waandaji wa tamasha hilo wametangaza orodha ya majina kibao ya wasanii na Ma’DJ watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo.

Kwenye orodha hiyo kuna jina la msanii mmoja kutoka Afrika Kusini na sio mwingine ni Black Coffee ambaye pia muaandaji wa muziki na DJ.

Wasanii wengine wakubwa watakaotumbuiza  kwenye tamasha hilo ni Beyonce, Eminem, The Weeknd, French Montana, CardI B, CZA, kundi la Migos na wasanii wengine kibao.

Tamasha hilo litafanyika Indio, California na litaanza ijumaa ya tarehe 13 Aprili hadi jumapili ya tarehe 15 Aprili 2018.

 

 

Chanzo: bongo5.com