Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii atupwa jela miaka 2 kwa kujichua ndani ya ndege

Desiigner 04212 Msanii atupwa jela miaka 2 kwa kujichua ndani ya ndege

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa na muimbaji nchini Marekani Sidney Royel Selby maarufu kama Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa kosa la kujichua 'Masturbation' ndani ya ndege.

Hitmaker huyo wa ngoma ya Panda ameamriwa na Mahakama ya Wilaya ya Minneapolis Marekani kama mkosaji wa ngono kwa kitendo hicho alichofanya mwezi Aprili.

Pia katika kifungo hicho anatakiwa kupimwa afya yake ya akili, atachunguzwa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kupigwa marufuku kumiliki silaha yoyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live