Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii Rico Single afariki Dunia

SPSyO45x Rico Single

Fri, 7 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa bongo fleva kutokea visiwani zanzibar Rashid Amini maarufu kama Rico Single amefariki dunia katika hosptali aliyokua akipatiwa matibabu huko visiwani zanzibar

Taarifa kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kuwa, Rico ameugua kwa kipindi kifupi na kupelekea kupatwa na umauti

rico atazikwa leo visiwani humo, baada ya mwili wake kuswaliwa Msjid Weles kikwajuni na kuzika katika makaburi ya Mwanakwerekwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live