Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii Prezzo adondoka na kupoteza fahamu

Prezzo.png Msanii Prezzo adondoka na kupoteza fahamu

Fri, 7 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Legend wa Muziki wa Rap kutokea nchini Kenya CMB Prezzo ameanguka gafla na kupoteza fahamu,

Tukio hilo limetokea wakati Prezzo alipokua amehudhuria kwenye uzinduzi wa Reality Show ya Msanii mwenzake @bahatikenya , kutokea nchini humo.

Sababu za Rapa huyo kupoteza fahamu bado hazijawekwa wazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live