Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii Nigeria aweka rekodi ya kuimba saa 31

Ewaoluwa Olatunji.jpeg Msanii Nigeria aweka rekodi ya kuimba saa 31

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ewaoluwa Olatunji, maarufu Ewa Cole, (29) ameweka rekodi ya kuimba muda mrefu nyimbo za Christmas ambapo aliimba kwa saa 31 kuanzia Desemba 27 hadi 28, #Lagos nchini #Nigeria

#Ewa ameingia katika kitabu cha rekodi ya duniani cha Guinness World Records (GWR), baada ya kutangazwa kuweka rekodi hiyo na #Guinness kupitia ukurasa wao wa X siku ya jana Jumatano Januari 31.

Kufuatiwa na mahojiano aliyoyafanya #Ewa alieleza kuwa aliamua kufanya hivyo kwa lengo la kukuza amani, umoja na kuhamasisha vijana kuwa na imani

Chanzo: www.tanzaniaweb.live